Nehemiah 13:1

Nehemia Afanya Matengenezo Ya Mwisho

1 aSiku hiyo, Kitabu cha Mose kilisomwa kwa sauti kuu, na watu wote wakasikia. Humo ilionekana imeandikwa kwamba hakuna Mwamoni wala Mmoabu atakayeruhusiwa katika kusanyiko la watu wa Mungu,
Copyright information for SwhNEN